Mwingizaji wa filamu, Wema Sepetu aliyasema hayo
baada ya baadhi ya watu wanao m-follow
mitandaoni kuanza kumtukana na kukosoa kila kitu
anachokiweka eti kwasababu tu hawampendi.
Baada ya mamba haya kuendelea kwa mda kidogo,
hasa baada ya yeye kuachana na aliekuwa mpenzi
wake, Diamond Platnumz, hatimaye Wema
aliwatolea uvivu na kuaonge meneno makali kuwa
wote wasio mpenda wa ache kum-follow kwani
hakuna wakumwambia nini akiweke au asikiweke
mtandaoni na hayo ni maisha yake hakuna
wakumpangia. Wema alisema;
“My Life… My Rules… You dont like it Unfollow
me…. Jus a quick reminder…. Jamani this be my
own account…. My personal account… So nitamtag
yoyote ninayetaka kumtag…. na bado siku ntatag
watu mtashangaa maana sasa naona tunaingiliana
mpaka kwenye kupost…. Akha…!!!! Hivi lini mmeskia
nafatilia mtu kwenye post zake… Tusiingiliane
jamani tafadhal… nat kwenye simu yangu…. I post
watever I want, wenever I want, however I want….
u gat a prob…? Deal wit it…. Talk abt entertaining
people sijui wanaotukana… I can entertain anybody I
want….!!!! Period…..!!!! Afu pia tusifundishane namna
ya kuishi aswell…. Like I said my life, my rules…. “
Hatua ya Wema kutoa kauli hii ilizua mdaja marefu
sana, wapo walio muunga mko Wema kwasababu ni
kweli kunawatu wamezidi kufanya vitendo ambayo
sio vya kistaarabu hata kama mtu haumpendi sio
lazima um-follow naanze kutema mbaya, ila wapo
waliosema azi-BLOCK baadhi ya akaunti za watu
ambao wanafahamika kuawa ndio wanao chafua
hali ya hewa nakuzitaja kabisa kwa majina. Ila wapo
walio mpa moyo kwamba ustaa ni nzigo la mwiba
kwa hiyo yeye awaache tu na mashabiki kwa
mashabiki wata malizana wenyewe kwa wenyewe
yani wale wanaomopenda wa wasiompenda
awaacha wavutane.
Hili swala la watu kuchafua page za watu huko
mitandaoni kwa lugha chafu sio kitendo kizturi hata
kama mtu haumpendi sisi kama bongomovies.com
kwa nguvu zote tunakemea vitendo kama hivi.
KAZA MOYO WEMA.
Home
»
»Unlabelled
» Wema sepetu aongrs mazito huko instagram
Recent Posts
MASHABIKI WAMCHARUKIA ALI KIBA, NA KUMPA MAKAVU LIVE BAADA YA KUACHIA VIDEO YA MWAKA ISIYOENDANA NA MAZINGIRA ..SOMA UJUE WALICHOSEMA
Laty Side video haiendani na alichoimba yan nikupiga wimbo wa taifa disco Fad Marlon Fad Mbay hyo ja[...]
ANACHOKIFANYA HUYU JAMAA NA MFALME WA PORI SIMBA NI HATARI TUPU. BOFYA HAPA
He trusts lions enough to stick his arm in their mouth! Kevin leverages his ability to help prevent[...]
Breaknewz msanii diamond aamuwa kugombea ubunge mwaka2015
Mwanamuziki wa kizazi kipya diamond ameandika katika ukurasa wake wa facebook kuwa ameamua hay[...]
MH. PROF. ANNA TIBAIJUKA BAADA YA KUENGULIWA ARUDI JIMBONI KWAKE KUFANYA HAYA!
Wananchi mkoani kagera wamepinga uamuzi wa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho[...]
MAPENZI BHANA! DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI! KUMTAMBULISHA X-MASS, AWACHAMBUA MA-EX WAKE!
Mapenzi bhana! Baada ya kutoka kimalavu na kumwagana na mwanadada mwenye mvuto Bongo, Wema Isaac Se[...]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.