Laty Side video haiendani na alichoimba yan
nikupiga wimbo wa taifa disco
Fad Marlon Fad Mbay hyo jamaa kwnye video
amwachie WCB maan hyo video nkama
kuchanganya msiba na haruc mahar pamoja
dhumuni la nymbo na video tofaut
Juma Sabuni Video mbaya kiukweli na ubaya wa
video haieleweki yeye mwenyewe hajitambui
mfano kipande cha kuongea na kioo ni pumba
zaid mi nakubali audio kuliko video
Chrîss Jüniör yaan bora hata mbagala
Nurdeen Kipendo B:siikubali coz alichoimba na
kwenye video tofauti kwa staili iyo hatangojea
xna kwa dangote
Nick Mkali Wao Maudhui ya wimbo na video
tofauti....video does not refrect an audio yaani
ukiplay video afu ukazima sauti hupati picha
kamili ya kinachoonekana na hata ukiunganisha
matukio ya kwenye video bado hupati picha
kamili kama inahusu MWANA.... Kucheza cheza
barabarani na kukata viuno ndio audio
ilichokuwa ikimaanisha au ? Amepoteza pesa tu
za buree...Nibora angerudi kuektia KWAO
KIGOMA
...
Chiwamba Songa Haimaanishi Script ya nyimbo
iendane na Message 'hapana' ila kiukweli kabisa
ukiachana na huo u-team KIBA! Script ya
nyimbo yake mbovu kabisa! ila na yeye
mwenyewe ukimwangalia tu unaona kabisa
jamaa amepaniki, Location ndio imebeba video
ila sio Script! ila tatizo litakuwa ni bajeti na
Management, kwa mnaoufaham mzik mtakuwa
mmenielewa nini nazungumza. siikubali
John Wambura Kapga wimbo wa taifa
bar,alichoimba na video tofaut kabxa
LadyValentina Kabora video ilitakiwa hata
kiziwi aelewe ama inawahusu wabongo tuuu
tena ambao wanasikia. Ujumbe unatakiwa uwe
effective wengne wameachwa nyuma. Sasa
kilichobaki wengine tunawatafsiria marafiki
zetu mwanzo mwisho kila kipande cha
nyimbo... ndio nini sasa?
Emanuel Maina Kwa muonekano kwa maana
ipo clear na views nzuri,ss issue ni haiendeni na
anachoimba ,wimbo unachanganya frm thw
start ye anatembea tembea tu ,in general ni
mbovu na kauharibu wimbo
Duox Edward video ya kiba kuuza nje ni inshu
coz hakuweza kuonesha uhalisia wa wimbo na
vitendo ili hata kama mtu hajui lugha ni rahs
ktambua maudhui ya wimbo kptia
vitendoo.....xo ili kjenga mzk wa bongo lazma
akbar kbadlika na apge kchupa kikal
zaid.......sio unafk ni mtizamo tu.....cna team bt
nashabikia mziki wwte mzriii.....plz kba change
bro
Rashedi Said kiba hajuagi kutoa vidio
nzur....mnaijua YAKARIMA ...?mliona ile vdo
yani ni kituko ..mkmcfia tazidi kuaribu kila
sku ...embu angalia vdo ya rich mavoko..acheni
kimcfia mkosoeni ajifunze anawategemea nyie
mkimkosoa ndo atafanya vzur xx kama mtu
anaaribu mnmcfia ..nyimbo ya mwana inastori
nzr xna lkn vidio haina stori
Wema Sepetu Amfuata Diamond Platnumz Kampala Uganda...Je Wawili Hawa Wanafuatana au Wanarushana Roho? Usiku wa juzi tarehe 18, jiji la Kampala nchini Uganda lilipambwa na “EVENTS” mbili mkubwa kwenye upande wa buruani ambazo ni Show kubwa ya mwnamziki Jose Chameleone iliyofahamika kama 1Man Show Million na Pati ya mwanamama Zari iliyofahamika kama Zari All White Ciroc Party. Mwigizaji Wema Sepetu na mwanamziki Diamond Platnumuz wote walitua nchi humo na kugawana matukio hayo kama ifuatavyo; Wema Sepetu ambae anadai ni amekuwa shabiki mkubwa wa masanii Jose Chameleone alitokea nchini Ghana na kutua jijini Kampala kuhudhuria show ya mwanana mziku huyo ambayo ilifanyika Serena Hotel. Wakati Diamond Platnumz ambae kwasasa ana “Le Project” na mwanamama Zari alihudhulia pati ya Zari kama “Special Guest”. Baadhi ya watu wamechukulia kitendo hiki ni kama mwanadada Wema “Amepaniki” hivi, Huku wengine wakisema kuwa Wema ana uhuru wakufanya kile anachokitaka bila ya kuhofia watu watasemaje. Jambo hili halijatokea kwa bahati mbaya kwani wiki kadhaa zilizopita, Diamond alipoonyesha kum- support Zari kwenye pati yake,Wema nae alibuka na kum-support Jose. Kama unavyoona hapa chini. Maoni yako tafadhari, Je wawili hawa wanatafutana au wana rohorushana
Usiku wa juzi tarehe 18, jiji la Kampala nchini
Uganda lilipambwa na “EVENTS” mbili mkubwa
kwenye upande wa buruani ambazo ni Show kubwa
ya mwnamziki Jose Chameleone iliyofahamika
kama 1Man Show Million na Pati ya mwanamama
Zari iliyofahamika kama Zari All White Ciroc Party.
Mwigizaji Wema Sepetu na mwanamziki Diamond
Platnumuz wote walitua nchi humo na kugawana
matukio hayo kama ifuatavyo;
Wema Sepetu ambae anadai ni amekuwa shabiki
mkubwa wa masanii Jose Chameleone alitokea
nchini Ghana na kutua jijini Kampala kuhudhuria
show ya mwanana mziku huyo ambayo ilifanyika
Serena Hotel.
Wakati Diamond Platnumz ambae kwasasa ana “Le
Project” na mwanamama Zari alihudhulia pati ya
Zari kama “Special Guest”.
Baadhi ya watu wamechukulia kitendo hiki ni kama
mwanadada Wema “Amepaniki” hivi, Huku wengine
wakisema kuwa Wema ana uhuru wakufanya kile
anachokitaka bila ya kuhofia watu watasemaje.
Jambo hili halijatokea kwa bahati mbaya kwani wiki
kadhaa zilizopita, Diamond alipoonyesha kum-
support Zari kwenye pati yake,Wema nae alibuka na
kum-support Jose. Kama unavyoona hapa chini.
DIAMOND AONGE HAYA Wema, Jokate, Penny Hawakutaka Kuzaa Na Mimi
DIAMOND:Wema, Jokate, Penny Hawakutaka Kuzaa Na Mimi
Akizungumza kwenye kipindi cha Live Chumba cha Habari kinachorushwa na Global TV online, Msanii wa muziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alieleza jinsi wapenzi wake wazamani ambao ni Mwigizaji Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na matangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’.
Diamond alifunguka baada ya kuulizwa kwamba amekuwa akitangaza kupenda watoto lakini kwa nini hana hata wa dawa licha ya kuwa na uhusiano na wanawake tofoutitofauti.
Diamond: “Ni kweli napenda watoto lakini siwezi kupata mtoto peke yangu bila mwenzangu. Lazima kuwe na mwenzangu ambaye tutakubaliana.“Nilichojifunza ni kwamba wenzangu hawakuwa real (hawakumaanisha) hivyo wakawa wanachengachenga.”
Diamond aliendelea kueleza kuwa mwanadada penny aliwahi kupata ujauzito wake.
“Ukweli Penny ningezaa naye, aliwahi kuniambia ana mimba yangu, sikuamini, nikampeleka hospitali kupima ikawa kweli. Kesho yake niikamnunulia gari, nikamwambia mama tulia. Siku mbili tatu akasema mimba imetoka.
“Nikaja nikamjaza kingine cha pili (mimba), nayo baada ya muda akaja kuniambia imetoka. Nikaona huyu mzinguaji, nikammwaga. Lakini iliniuma sana.“Kwa wengine (Jokate na Wema) walikuwa wakinichenga tu bila sababu, unamuona huyu hataki kubeba mimba yangu. Mtu kwa mdomo anasema kwamba yuko na wewe kikamilifu lakini kwa matendo unaona siye.
“Lakini kusema ukweli kabisa natamani sana kuwa na mtoto.
“Hapo juzikati nilitaka kuoa, kila kitu kilikuwa sawa, nikaja kubadili mawazo.”
Swali: ”Ulitaka kumuoa nani?”Diamond: “Ah! Siwezi kumsema hapa. Diamond alimaliza.
Muimbaji wa Nyimbo za INJILI Tanzania Florah Mbasha Aomba Talaka Mahakamani K
kazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake
na mumewe, Emmanuel Mbasha. Flora anadai
sababu za kuomba kuvunja ndoa hiyo apewe
talaka ni kutokana na tabia ya mumewe
kumpiga, kumnyanyasa na kushindwa
kumpatia matibabu.
Chanzo==> EAT
Staa huyu wa Nollywood aeleza sababu za kwa nini hayupo tayari kuingia katika maisha ya ndoa kwa sasa
MANENO YA IDRIS KUHUSU ALICHOKIANDIKA DAVIDO BAADA YA USHINDI WA TANZANIA BIG BROTHER AFRICA
Jumapili ya Des 7 ni siku iliyochukua headline
kwenye mitandao baada ya Davido kuwakwaza
watanzania kwa kile alichokiandika kwenye
twitter.Baada ya Mwakilishi kutokea Tanzania
Idris Sultan kutangazwa kuwa mshindi wa Big
Brother Africa Hotshots.
Mengi yamezungumzwa na watu,lakini Des 11
mshindi wa Big Brother Africa Hotshots,Idris
Sultan alipata nafasi ya kuzungumza na
vyombo vya habari mbalimbali. Miongoni mwa
maswali aliyouliza ilikuwemo ile ishu ya
Davido.
Mwandishi: Idris ukiwa kama mshindi wa BBA
unazungumziaje ujumbe wa Davido
uliowakwaza watumiaji wa mitandao?
Idris Sultan: “ Kwanza ningependa kusema
nahisi ilikuwa ni utani kwasababu mwishoni
mwa ile sentensi kumbuka kuna alama ya utani
yaani ‘Lol’ sasa nimeshangashwa kuona watu
wanaanza kuhisi vibaya kuwa ni dongo kwetu
hapana.
“Ningewataka watanzania pamoja na Davido
tusiingie kwenye migogoro isiyokuwa na msingi
sisi sote ni bado vijana tunatakiwa kujitangaza
na kupeana support hata vizazi vinavyokuja
vijifunze vitu vizuri kutoka kwetu ikiwemo
Upendo na Amani kati ya Tanzania na
Nigeria.”
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye
mkutano huo
Mshindi wa Big Brother 2014,Idris Sultan
akisisitiza jambo wakati akiongea na waandishi
wa habari (hawapo pichani) katika hoteli ya
Hyatt Regency,Jijini Dar es salaam .
Idris akizungumza.
Aliyekuwa Mshiriki mwenza wa Idris
Sultan,Irene Laveda akizungumza machache
kwenye Mkutano huo.
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice
Tanzania,Barbara Kambogi akizungumza jambo
wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari
jijini Dar es Salaam.
IDRIS AFUNGUKA MAZITO KUHUSU LULU
KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo,
Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort
( 2014) , Idris Sultan amemfungukia mwigizaji
Elizabeth Michael ‘Lulu ’ na kudai ni rafiki yake
wa karibu .
Mshindi wa Shindano la Big Brother
Hotshots 2014, Idris Sultan.
Kabla mshindi huyo hajakanyaga Bongo , Lulu
alishambuliwa mitandaoni baada ya kujinadi
kuwa na urafiki wa karibu na Idris lakini kwa
kauli hiyo, imeonesha dhahiri wawili hao ni
marafiki wa kweli tofauti na mitazamo ya
wadau mitandaoni .
Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu ’ .
“ Lulu ni rafiki yangu wa muda mrefu , hakuna
kingine zaidi ya urafiki . Tutaendelea kuwa
marafiki hata baada ya ushindi huu,” alisema
Idris , juzi alipokuwa kwenye mkutano wa
waandishi wa habari kwenye Hoteli ya Hyatt
Regency Dar es Salaam ( The Kilimanjaro ).
MASKINI BI. CHEKA! MAISHA ANAYOISHI YANASIKITISHA!
Bi Cheka akiwa nje ya nyumba
anayoishi.
DAH MASIKINI! Hivi ndivyo unavyoweza
kusema wakati unapomuona msanii wa
muziki wa kizazi kipya, Cheka Hija,
maarufu kama Bi. Cheka kutoka Kundi la
Mkubwa na Wanawe, linaloongozwa na
Said Fella ‘Mkubwa’ lenye maskani yake,
Temeke jijini Dar es Salaam.
Mtoa habari wetu aliwasiliana na gazeti hili
na kulieleza kuwa msanii huyo mwenye
umri wa miaka 55, hivi karibuni alianguka
ghafla nyumbani kwake na kukata kauli,
wakati alipokuwa akienda chooni
kujisaidia.
Wikiendi iliyopita, Amani lilifika nyumbani
kwa msanii huyo mzee, anayeishi Bunju B,
nje kidogo ya jiji la Dar na kumkuta akiwa
na wajukuu zake huku hali yake ikiwa tete
tokea alipoanguka Oktoba mwaka huu .
Akiwa anaishi katika kijumba chake
kilichojengwa kwa miti na kukandikwa
udongo, mtu anayemuona katika luninga
akifanya vitu vyake, asingeweza kuamini
kama hapo ndipo anapoishi.
Upande wa nyumba yake.
“Ukweli nilikuwa na hali mbaya, afadhali
sasa, naongea na kusimama kwani nilikuwa
siwezi kutembea, wiki iliyopita alikuja
meneja wetu, Yusuf Chambuso na akina
Dogo Aslay.
“Jamani maisha yangu kwa sasa ni magumu
kwani siwezi kufanya kazi yoyote na sina
msaada na kwenye muziki sijaona faida
yoyote labda ya nguo tu, kwamba nilizoea
kuvaa madela na kanzu sasa nina suruali,”
alisema Bi Cheka kwa machungu.
Bi Cheka akiwa na wajukuu zake.
Alisema anasikitishwa na maisha yake
kwani kutokana na umaarufu wake, mtaani
kwao anaonekana kama mtu mwenye
uwezo, wakati siyo kweli kwani anaishi
kwenye nyumba ya tembe katikati ya
nyumba nzuri.
“Kuhusu malipo makubwa kuwahi kupata
ni shilingi laki tatu nilizolipwa kwenye shoo
ya Fiesta mwaka juzi, hizo ndizo hela
kubwa niliyowahi kupata katika
muziki.”Gazeti hili lilimtafuta Fella ambaye
alikiri Bi. Cheka kuumwa, akisema
anasumbuliwa na magonjwa ya uzee na
kwamba ahadi yake ya kumsaidia kujenga
nyumba imeishia kwenye mchango wake
wa matofari.
...Bi Cheka akiimba na Chege.
“Mimi kama Fella nimesaidia ninapoweza,
nimemchangia matofari kidogo, kwa hiyo
watanzania wenzangu nao tuungane
tumchangie ili aweze kurekebisha kibanda
chake,” alisem
Global Publishers inaanzisha kampeni
maalum ya kumsaidia na hivyo inawaomba
watanzania kumchangia msanii huyu ili
apate nyumba nzuri na matibabu yake. Ili
kumsaidia tuma fedha kwenye namba
0654-880707 ambayo itasimamiwa na
kampuni.
LULU HATUMII NGUVU KATIKA MAPENZ ILI AJIANDAE NA LEBA
MASTAA wana mambo! Mtoto mzuri Bongo Movies,
Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa kali ya aina yake
kwa kusema kamwe hatumii nguvu nyingi kwenye
mapenzi kwa sababu yanapoteza muda bila
sababu za msingi bora nguvu zake azitunze hadi
pale atakapokuwa akijifungua.
Mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael
‘Lulu’ akipozi.
Akimwaga cheche mbele ya mwanahabari wetu,
Lulu alisema siku hizi wanaume wengi
wanawafanya wasichana watumie nguvu kutetea
penzi kutokana na migogoro isiyokuwa na msingi.
“Bora nguvu zangu nizihifadhi za kuendea leba
kuliko kuzipoteza katika mapenzi kwani hayo
mambo yamepitwa na wakati kabisa,” alisema
Lulu.
UJUMBE WA LULU WALIZA WATU HUKO INSTAGRAM
Staa wa bongo muvie Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye anakabiriwa na kesi ya mauaji ya Kanumba bila kukusudia ameandika kwa uchungu kuonyesha kuwa mpaka leo bado haamini kuwa Kanumba alikwishafariki.
Leo ni siku ya kutimiza miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha Steven Kanumba aliyekuwa star mkubwa wa filamu na kufanikiwa kutoa njia kwa tasnia ya filamu nchini.
Lulu aliamua kuandika jumbe kupitia mtandao mmoja maarufu wa kijamii, “Bado Siamini kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba, Ninaamini bado tupo nawe kiroho na ninaamini zaidi nasfi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania. Inaweza kuchukua miaka na miaka kukuelezea. You still live in me dady and you are dearly missed.R.I.P dady yangu”. TOA MAONI YAKO HAPA CHINI LIKE PAGE YETU HAPO PIA SHARE STORY NA RAFIKI ZAKO
Angalia hapa picha za lulu akila bata huko Bukoba Ni Noumer… Naendelea Kuoga Hela
“Wahaya noma......
”
Hili Bata la Watu wa Bukoba ni
Noumer...! likizo isiishe jamani
Haikuishiahapo, alitupia picha nyingi
mtandaoni akiwa "SAMUWEA" kama
unavyoziona hapo juu. Lakini hiyo
picha ya miguu ndio iliua wengi,
kwakuitendea haki alifunguka.
“Nishawahi kusema naipenda miguu
yangu!????
,oky
naendelea kuoga hela..kuoga Maji
mwisho Dar Es Salaaam...kwa kina
Mutashobya(BUKOBA) ni kuoga Hela
tu...!oky bye” Lulu alimaliza.
Tazama Picha za Ali Kiba Yuko Afrika Kusini Anafanya Hii Video Noma sana
ametufahamisha kuwa yuko South Africa mjini
Cape Town akifanya video. Hajaweka wazi ni video
ya wimbo upi ila inawezekana kuwa video ya
‘Mwana’ sababu ndio wimbo unaofanya vizuri k
PICHA: SHILOLE ALIVYOKINUKISHA UBELGIJI
Hizo ni picha za msanii shilole akiwa kwenye shoo uko ubregij
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI LIKE PAGE YETU HAPO PIA SHARE STORY NA RAFIKI ZAKOKAKA YAKE WEMA ATUA DAR...!!
Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond
Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea
Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la
utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia
tuzo tatu kwa
mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja
na Most Gifted New Comer, Most Gifted
Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo
wake wa Number One
WEMA HATARINI KUTOLEWA KIZAZI KISA DIAMOND
Dada wa hiari na Mapenzi wa Miss Tanzania 2006,
Wema Sepetu ambaye hakutaka kuliweka wazi jina
lake amevunja ukimya kutokana na kile alichokiona
kuwa ni mateso ya kujitakia anayoyapata Wema
Sepetu kutokana na kusumbukia Pnezi la
mwanamuziki mkubwa wa Bongo fleva Nasibu
Adbul maarufu kwa jina la Diamond Platinumz.
Kupitia wakala wake wa amani dada huyo
alifunguka kama ifuatavyo;
Najua wewe ni mrembo
sana, una exposure
kubwa na una pesa,
sawa wanasema
mwanamke bila
mwanaume
haiwezekani ila kwa
mimi naona
inawezekana. Jana
nimekuona sehemu
fulani Kinondoni
Umelewa sana sana..
Hivi unadhani pombe
ndio suluhisho la
matatizo yako? Tena unakunywa mipombe mikali
halafu mwanamke, Hicho kizazi kitapona kweli kwa
staili hiyo?Nakupa siri mdogo wangu wewe una
nafasi ya kuwa na mwanaume yeyete duniani, na
sio uchafu wa manzese huu unaokupata paka kila
kikwapa cha mwanamke. Kama ungeweza hebu
ondoka Tanzania japo kwa miezi sita nenda kakae
nje kama ulivyofanya kipindi kile ulivyoachana na
yule mla unga ukirudi utakuwa mpya umeweza
kukaa mbali na huyi dom* na utaona umeweza
kuishi bila yeye. Hebu jaribu kukaa bila mwanaume
uone kama haiwezekaniki, jaribu kubadili aina ya
wanume unao date nao. Date watu wa nje ya nchi
uone kama yataendelea haya haya au utaendelea
kuvaa sare za harusi za wenzio huklu pete
uliyovalishwa mwaka 47 ikitopata kutu kidoleni
mwako. Imefika stage watu wanakuona wewe
Kigodoro cha kukimbilia pale magodoro yao
yanapoingua kunguni. Wafungie vioo hao fanya
yako. Anzisha kitu cha kuku keep-busy acha
Pombe ikiwezekana hata zile company za pombe
zikimbie.
Wewe ni mdogo sana
sana kunywa mipombe
ati stress za mapenzi
utajipatia maradhi ya
figo
ungali mdogo. Labda
kama mwenzetu
wataka kufa kesho
tuambie tukuwekee
order ya mi-dompo mia
kila siku nasisitiza sana
jaribu kubadili aina ya
wanaume unaotoka
nao. Acha wanaume za
watu nenda nje jipatie
mkaka au mzungu
kama dadaako
alivyofanya katulia. Date mtu wa mbali na kwenu wa
hapa hakuna wa kukuoa watalutumia kujipatia
majina hawakupendi Wema. Ona wenzio mamisi
wameshatengeneza familia zao wewe bado huelewi
na umri unasonga mbele. Kibaya zaidi mdogo wangu
una mwili mbaya wa kuzeeka haraka na hivyo
mipombe ndio kabisa. Najua inaumiza hii ila
ukinisikia utasema asante.
BAADA YA MSANII KITARE KUFIWA NA BABA YAKE MZAZI HAYA NDIO ALIO YAONGEA HUKO MSIBANI
Kitale Mussa
Msanii wa vichekesho, Kitale jana amefiwa na
baba yake mzazi na mazishi yatafanyika leo
Kilosa mkoani Morogoro. Akizungumza na
Bongo5 leo, Kitale amesema kuwa baba yake
amepatwa na umauti jana baada ya kuugua kwa
muda mrefu. “Tunashuru Mungu leo saa 7
mchana tunazika pale Kilosa, baba alikuwa
anaumwa kwa muda mrefu,” alisema Kitale.
Post Ya Diamond Platnumz Kuhusu Kuimba Kwenye #WeAreTheWorldAfrica Na Picha Za Video Ya Wimbo Huu.
CHEKI PICHA ZA HALIMA KIMWANA, NA KAKA'AKE DIAMOND NA ZARI WAKIFANYA YAO HUKO SAUZI..YAANI NI SHEEDAH!
HALIMA KIMWANA ALIPOST PICHA HIZI AKIWA
NA DIAMOND NA ZARI THE BOSSLADY SOUTH
AFRICA.. WAKISUBIRI TUZO ZA CHANNEL O
ZILIZOFANYIKA USIKU WA KUAMKIA LEO!









