Nimesikitishwa Sana na habari zilizoandikwa na moja
ya chombo cha habari, kuwa eti nliwanyanyasa
wasanii wenzangu Nyota ndogo na Susumila, kwa
kuwafukuza kwenye VIP lounge na sijui eti niliwazuia
wasitumie maji ya chupa hivi inaingia akilini kweli
hii!!!?? Ningependa kutumia nafasi hii kuwajulisha
mashabiki zangu waliokutana na story hizo kuwa sio
za kweli ni zenye lengo la kudhoofisha Mahusiano
yetu mazuri ya wasanii Wa Africa mashariki..kama
BigEye ya Uganda ilivyowahi kuandika habari za
upotoshaji Kati yangu na Jose Chameleone.. Pia
Nawasihi @Bongofive ni vyema mtambue Nafasi
yenu kwenye jamii kwa sasa, Kuweni makini na
baadhi ya habari mnazo post ama kureport kutoka
baadhi ya mitandao, zinavunja mahusiano mazuri ya
wasanii wa East Africa...kumbukeni kuna watu wana
tabia ya kujudge kitu kwa kusoma kichwa cha habari
tu pasipo kufuatilia undani wa habari...Yawezakuwa
mwaandika kwa nia njema tu, lakini ni vyema muwe
mnapata na uhakika kwanza kabla ya kuripoti,
hususan story za kutengeneza chuki kama
hizi....kufanya hivyo ndiyo mtasaidia kukuza industry
yetu ya East Africa...
Home
»
»Unlabelled
» MASANII DIAMOND AONGEA MAZITO KUHUSU VYOMBO VYA HABARI BOFYA HAPA
Recent Posts
MASHABIKI WAMCHARUKIA ALI KIBA, NA KUMPA MAKAVU LIVE BAADA YA KUACHIA VIDEO YA MWAKA ISIYOENDANA NA MAZINGIRA ..SOMA UJUE WALICHOSEMA
Laty Side video haiendani na alichoimba yan nikupiga wimbo wa taifa disco Fad Marlon Fad Mbay hyo ja[...]
ANACHOKIFANYA HUYU JAMAA NA MFALME WA PORI SIMBA NI HATARI TUPU. BOFYA HAPA
He trusts lions enough to stick his arm in their mouth! Kevin leverages his ability to help prevent[...]
Breaknewz msanii diamond aamuwa kugombea ubunge mwaka2015
Mwanamuziki wa kizazi kipya diamond ameandika katika ukurasa wake wa facebook kuwa ameamua hay[...]
MH. PROF. ANNA TIBAIJUKA BAADA YA KUENGULIWA ARUDI JIMBONI KWAKE KUFANYA HAYA!
Wananchi mkoani kagera wamepinga uamuzi wa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho[...]
MAPENZI BHANA! DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI! KUMTAMBULISHA X-MASS, AWACHAMBUA MA-EX WAKE!
Mapenzi bhana! Baada ya kutoka kimalavu na kumwagana na mwanadada mwenye mvuto Bongo, Wema Isaac Se[...]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment