kitafakari jambo.
LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa
supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba
wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza
kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa.
Ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa
supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba
wake, Nasibu Abdul ‘Diamond'.
Tukio hilo lilijidhihirisha wazi mbele ya paparazi
wetu juzikati nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama
jijini Dar, ambapo Wema alitamka hadharani kuwa
kwa sasa analichukia kupita maelezo gari hilo
alilozawadiwa na Diamond kwenye sherehe yake
ya kuzaliwa.
“Bwana acha nitumie hili gari lingine kwenda
airport hilo Murano sitaki hata kulisikia, sijui
najisikiaje hata nikiliona,” alisikika Wema.Paparazi
wetu baada ya kusikia Wema akionesha wazi kuwa
analichukia gari hilo, alimuuliza sababu
inayomfanya alichukie ambapo alisema hajui ni
kwa nini analichukia ingawa ni mali yake.
“Siku hizi sipendi kutumia hili Murano tena
nalichukia kweli, inafikia kipindi nakosa raha
nikiliona lakini ukiniuliza sababu ya kulichukia kiasi
hicho hata sina sijui nimezoea sana kutumia BMW,
ndiyo maana najikuta nalichukia gari hili,” alisema
Wema.
Nasibu Abdul ‘Diamond'akipozi.
Kwenye bethidei yake iliyofanyika Septemba,
mwaka huu, Wema alizawadiwa magari mawili. La
kwanza lilikuwa ni BMW 545i (Sh. Milioni 56)
ambalo liliibua utata juu ya mtu aliyemzawadia na
la pili ni Nissan Murano (Sh. milioni 36) alilopewa
na Diamond.
Home
»
»Unlabelled
» Wema Sepetu Alisusa Gari Alilopewa
na Diamond Platnumz soma hapa
Recent Posts
MASHABIKI WAMCHARUKIA ALI KIBA, NA KUMPA MAKAVU LIVE BAADA YA KUACHIA VIDEO YA MWAKA ISIYOENDANA NA MAZINGIRA ..SOMA UJUE WALICHOSEMA
Laty Side video haiendani na alichoimba yan nikupiga wimbo wa taifa disco Fad Marlon Fad Mbay hyo ja[...]
ANACHOKIFANYA HUYU JAMAA NA MFALME WA PORI SIMBA NI HATARI TUPU. BOFYA HAPA
He trusts lions enough to stick his arm in their mouth! Kevin leverages his ability to help prevent[...]
Breaknewz msanii diamond aamuwa kugombea ubunge mwaka2015
Mwanamuziki wa kizazi kipya diamond ameandika katika ukurasa wake wa facebook kuwa ameamua hay[...]
MH. PROF. ANNA TIBAIJUKA BAADA YA KUENGULIWA ARUDI JIMBONI KWAKE KUFANYA HAYA!
Wananchi mkoani kagera wamepinga uamuzi wa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho[...]
MAPENZI BHANA! DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI! KUMTAMBULISHA X-MASS, AWACHAMBUA MA-EX WAKE!
Mapenzi bhana! Baada ya kutoka kimalavu na kumwagana na mwanadada mwenye mvuto Bongo, Wema Isaac Se[...]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment