MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena
Mohamed ‘Shilole’ ambaye pia anafahamika kama
Shishi Baby, amesema baadhi ya watu wana chuki
naye kiasi kwamba wanatamani kumtoa roho kwa
kutopenda mafanikio yake.
Shilole
Akipiga stori na gazeti hili mara baada ya ziara yake
ya kimuziki barani Ulaya, Shishi Baby alisema katika
mitandao ya kijamii, alizushiwa kuwa alienda huko
akiwa na mwanaume badala ya ukweli kwamba
alifuata shoo katika miji tofauti.
“Yaani watu wana roho mbaya sana, wanatamani
nikiwa nimepanda ndege waitungue nife na ndiyo
maana wanazusha, namuomba Mungu sana maana
maadui wanazidi kila kukicha kisa maendeleo yangu
tu,” alisema.
Home
»
»Unlabelled
» SHILOLE "Kuna Watu Wanatamani
Kuniua" Soma zaid
Next
MAPENZI BHANA! DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI! KUMTAMBULISHA X-MASS, AWACHAMBUA MA-EX WAKE!
Previous
Wema Sepetu Amfuata Diamond Platnumz Kampala Uganda...Je Wawili Hawa Wanafuatana au Wanarushana Roho? Usiku wa juzi tarehe 18, jiji la Kampala nchini Uganda lilipambwa na “EVENTS” mbili mkubwa kwenye upande wa buruani ambazo ni Show kubwa ya mwnamziki Jose Chameleone iliyofahamika kama 1Man Show Million na Pati ya mwanamama Zari iliyofahamika kama Zari All White Ciroc Party. Mwigizaji Wema Sepetu na mwanamziki Diamond Platnumuz wote walitua nchi humo na kugawana matukio hayo kama ifuatavyo; Wema Sepetu ambae anadai ni amekuwa shabiki mkubwa wa masanii Jose Chameleone alitokea nchini Ghana na kutua jijini Kampala kuhudhuria show ya mwanana mziku huyo ambayo ilifanyika Serena Hotel. Wakati Diamond Platnumz ambae kwasasa ana “Le Project” na mwanamama Zari alihudhulia pati ya Zari kama “Special Guest”. Baadhi ya watu wamechukulia kitendo hiki ni kama mwanadada Wema “Amepaniki” hivi, Huku wengine wakisema kuwa Wema ana uhuru wakufanya kile anachokitaka bila ya kuhofia watu watasemaje. Jambo hili halijatokea kwa bahati mbaya kwani wiki kadhaa zilizopita, Diamond alipoonyesha kum- support Zari kwenye pati yake,Wema nae alibuka na kum-support Jose. Kama unavyoona hapa chini. Maoni yako tafadhari, Je wawili hawa wanatafutana au wana rohorushana
Recent Posts
MASHABIKI WAMCHARUKIA ALI KIBA, NA KUMPA MAKAVU LIVE BAADA YA KUACHIA VIDEO YA MWAKA ISIYOENDANA NA MAZINGIRA ..SOMA UJUE WALICHOSEMA
Laty Side video haiendani na alichoimba yan nikupiga wimbo wa taifa disco Fad Marlon Fad Mbay hyo ja[...]
ANACHOKIFANYA HUYU JAMAA NA MFALME WA PORI SIMBA NI HATARI TUPU. BOFYA HAPA
He trusts lions enough to stick his arm in their mouth! Kevin leverages his ability to help prevent[...]
Breaknewz msanii diamond aamuwa kugombea ubunge mwaka2015
Mwanamuziki wa kizazi kipya diamond ameandika katika ukurasa wake wa facebook kuwa ameamua hay[...]
MH. PROF. ANNA TIBAIJUKA BAADA YA KUENGULIWA ARUDI JIMBONI KWAKE KUFANYA HAYA!
Wananchi mkoani kagera wamepinga uamuzi wa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho[...]
MAPENZI BHANA! DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI! KUMTAMBULISHA X-MASS, AWACHAMBUA MA-EX WAKE!
Mapenzi bhana! Baada ya kutoka kimalavu na kumwagana na mwanadada mwenye mvuto Bongo, Wema Isaac Se[...]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.