Waandamanaji wakilitazama bunge la Burkina Faso likiteketea kwa moto. |
WAANDAMANAJI
nchini Burkina Faso leo wamechoma moto bunge la nchi hiyo kupinga
kupitishwa kwa katiba itakayomruhusu rais wa nchi hiyo, Blaise Compaore
kuongeza muda wa kukaa madarakani.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.