Hizi ni habari ambazo zimetufikia hivi punde zikisema ya kwamba bus la kampuni ya simba mtoto limegongana na lori uso kwa uso katika eneo la Wami, taarifa za hawali zimebainisha kuwa dereva wa lori amefariki papo hapo huku abiria wa gari la simba mtoto baadhi yao wakiwa wamejeruhiwa. 

Dreva wa lori aliwa amefariki ndani ya gari lake.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
LIKE PAGE YETU HAPO PIA SHARE STORY NA RAFIKI ZAKO

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

BURUDANI

 
Top