Baada ya filamu kumalizika,sikiliza alichokifanya
Hemed PHD.
Inshu iliyofika mezani kwa mhariri Soudy Brown
July 21 ni kuhusu madai yaliyotolewa na Lady Naa
juu ya kitu alichosema si kizuri alichofanyiwa na
Hemed PHD mara baada ya kumaliza kutengeneza
filamu yao.
Madai ya Lady Naa amedai kuwa Hemed PHD
aliondoka na bag lenye nguo zake na kila akimpigia
simu Hemed amekuwa yuko busy kiasi cha kuhisi
kuwa Hemed ana nia ya kumdhurumu,Hemed
kapatikana na kuongelea hii isue. KUSIKILZA
AUDIO BONYEZA HAPA

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
LIKE PAGE YETU HAPO PIA SHARE STORY NA RAFIKI ZAKO

0 comments:

Post a Comment

BURUDANI

 
Top