Modo wa Tanzania anayejulikana kwa jina la
Calisah ambaye amewahi kushiriki Mr.Tanzania
2013-2014 ameandika picha za kimahaba katika
picha za msanii maarufu wa filamu, Jackline
Wolper ‘Gambe’…
“Umenifanya nisitamani mwanamke yeyote
katika dunia hii. Nakupenda sana Wolper
Gambe wangu coz i get everything from you.I
love you kamdoli kangu, kichuna changu,” hayo
ndo maneno ya kimahaba aliyoyaandika na
kumtumia Wolper.
Home
»
»Unlabelled
» AISEE NI HATARI WOLPER AN AT OKA
NA HUYU SERENGETI BOY SOMA
HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment