WATANGAZAJI wa Clouds FM wameweka wazi kuhusu tukio lililotokea juzi (Jumatano), Julai 2 mwaka huu wakati wa kipindi cha XXL likiwahusisha watangazaji B12, Adam Mchomvu na Fetty kudaiwa kupigana studio lilikuwa la kutengenezwa ili kupaza sauti na kufikisha ujumbe wa amani.
Watangazaji wa Kipindi cha XXL kinachoruka Clouds FM kuanzia saa 7 mchana hadi saa 10 jioni, Adam Mchomvu (kushoto), Hamis Mandi 'B12' (katikati) na Dj Fetty.
Watangazaji wa Kipindi cha XXL kinachoruka Clouds FM kuanzia saa 7 mchana hadi saa 10 jioni, Adam Mchomvu (kushoto), Hamis Mandi ‘B12′ (katikati) na Dj Fetty.
Dhamira ya tukio hilo ilikuwa kupaza sauti ili kudumisha amani ya Tanzania maana ukimya hausaidii. TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
LIKE PAGE YETU HAPO PIA SHARE STORY NA RAFIKI ZAKO

0 comments:

Post a Comment

BURUDANI

 
Top