Baada ya Kuangukia pua MTV MAMA na BET, DIAMOND atwaa tuzo ya KORA
STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ametangazwa kuwa mshindi wa
tuzo za Kora katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa Afrika
Mashariki. Meneja wa msanii huyo, Babu Tale amethibitisha kupokea cheti
cha heshima kuhusu tuzo hiyo huku akisema wanasubiri utaratibu zaidi.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
LIKE PAGE YETU HAPO PIA SHARE STORY NA RAFIKI ZAKO
0 comments:
Post a Comment