Diamond alikuwa South Africa hivi karibuni kwenye jumba la Big Brother
na kwenye Tuzo za Channel O za Video za 2014. Kabla ya tuzo hizo Diamond
aliweka post ikiwa na ujumbe kuwa anawakilisha Tanzania kwenye wimbo wa
Africa All Star wa #WeAreTheWorldAfrica.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home
»
CELEBRETIES
»
MUZIKI
»
WASANII
» Post Ya Diamond Platnumz Kuhusu Kuimba Kwenye #WeAreTheWorldAfrica Na Picha Za Video Ya Wimbo Huu.
Related Posts
Tazama Picha za Ali Kiba Yuko Afrika Kusini Anafanya Hii Video Noma sana
Kupitia kurasa yake ya Instagram msanii Ali Kiba ametufahamisha kuwa yuko South Africa mjini Cape T[...]
MASHABIKI WAMCHARUKIA ALI KIBA, NA KUMPA MAKAVU LIVE BAADA YA KUACHIA VIDEO YA MWAKA ISIYOENDANA NA MAZINGIRA ..SOMA UJUE WALICHOSEMA
Laty Side video haiendani na alichoimba yan nikupiga wimbo wa taifa disco Fad Marlon Fad Mbay hyo ja[...]
DIAMOND AONGE HAYA Wema, Jokate, Penny Hawakutaka Kuzaa Na Mimi
DIAMOND:Wema, Jokate, Penny Hawakutaka Kuzaa Na Mimi Akizungumza kwenye kipindi cha Live Ch[...]
Wema Sepetu Amfuata Diamond Platnumz Kampala Uganda...Je Wawili Hawa Wanafuatana au Wanarushana Roho? Usiku wa juzi tarehe 18, jiji la Kampala nchini Uganda lilipambwa na “EVENTS” mbili mkubwa kwenye upande wa buruani ambazo ni Show kubwa ya mwnamziki Jose Chameleone iliyofahamika kama 1Man Show Million na Pati ya mwanamama Zari iliyofahamika kama Zari All White Ciroc Party. Mwigizaji Wema Sepetu na mwanamziki Diamond Platnumuz wote walitua nchi humo na kugawana matukio hayo kama ifuatavyo; Wema Sepetu ambae anadai ni amekuwa shabiki mkubwa wa masanii Jose Chameleone alitokea nchini Ghana na kutua jijini Kampala kuhudhuria show ya mwanana mziku huyo ambayo ilifanyika Serena Hotel. Wakati Diamond Platnumz ambae kwasasa ana “Le Project” na mwanamama Zari alihudhulia pati ya Zari kama “Special Guest”. Baadhi ya watu wamechukulia kitendo hiki ni kama mwanadada Wema “Amepaniki” hivi, Huku wengine wakisema kuwa Wema ana uhuru wakufanya kile anachokitaka bila ya kuhofia watu watasemaje. Jambo hili halijatokea kwa bahati mbaya kwani wiki kadhaa zilizopita, Diamond alipoonyesha kum- support Zari kwenye pati yake,Wema nae alibuka na kum-support Jose. Kama unavyoona hapa chini. Maoni yako tafadhari, Je wawili hawa wanatafutana au wana rohorushana
Usiku wa juzi tarehe 18, jiji la Kampala nchini Uganda lilipambwa na “EVENTS” mbili mkub[...]
Muimbaji wa Nyimbo za INJILI Tanzania Florah Mbasha Aomba Talaka Mahakamani K
kazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe, Emmanuel Mbasha. Flora anadai sababu za kuomb[...]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment