MH!! ROSE NDAUKA Kachumbiwa
Tena?!!!!! Cheki Alichotupia
Instagram
Msanii wa Bongo movie, Rose Ndauka ambae
mama wa mtoto mmoja hivi majuzi aliwashtua
followers wake kwenye ukurasa wake kwenye
mtandao wa INSTAGRAM baada ya kutupia picha
ya mkono wake ukiwa umevishwa pete ya
uchumba kidoleni na kuandika alama ya za
mshangao (!!!) na badaye kuweka tena picha ya
mkebe wa pete pamoja na mkono ukiwa unapete
kidoleni na kuandika (Mmmmmmmh#!)
Kitendo hiki kiliwafanya followers wengi kuachia
comment za kumpongeza na LIKES za kutosha
lakini hadi sasa Rose Ndauka ambae hivi karibuni
aliachana na mchumba wake Malick Bandawe
hajajitokeza kujibu chotote wala kuelezea
chochote, swala mabalo hadi leo watu wanavutana
juu ya ukweli wa jambo hili.
Tazama alichotupia kwenye picha hizo hapo chini
Home
»
»Unlabelled
» MH!! ROSE NDAUKA Kachumbiwa
Tena?!!!!! Cheki Alichotupia
Instagram
Recent Posts
MASHABIKI WAMCHARUKIA ALI KIBA, NA KUMPA MAKAVU LIVE BAADA YA KUACHIA VIDEO YA MWAKA ISIYOENDANA NA MAZINGIRA ..SOMA UJUE WALICHOSEMA
Laty Side video haiendani na alichoimba yan nikupiga wimbo wa taifa disco Fad Marlon Fad Mbay hyo ja[...]
ANACHOKIFANYA HUYU JAMAA NA MFALME WA PORI SIMBA NI HATARI TUPU. BOFYA HAPA
He trusts lions enough to stick his arm in their mouth! Kevin leverages his ability to help prevent[...]
Breaknewz msanii diamond aamuwa kugombea ubunge mwaka2015
Mwanamuziki wa kizazi kipya diamond ameandika katika ukurasa wake wa facebook kuwa ameamua hay[...]
MH. PROF. ANNA TIBAIJUKA BAADA YA KUENGULIWA ARUDI JIMBONI KWAKE KUFANYA HAYA!
Wananchi mkoani kagera wamepinga uamuzi wa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho[...]
MAPENZI BHANA! DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI! KUMTAMBULISHA X-MASS, AWACHAMBUA MA-EX WAKE!
Mapenzi bhana! Baada ya kutoka kimalavu na kumwagana na mwanadada mwenye mvuto Bongo, Wema Isaac Se[...]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment