Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond
Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea
Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la
utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia
tuzo tatu kwa
mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja
na Most Gifted New Comer, Most Gifted
Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo
wake wa Number One
Related Posts
DIAMOND AONGE HAYA Wema, Jokate, Penny Hawakutaka Kuzaa Na Mimi
DIAMOND:Wema, Jokate, Penny Hawakutaka Kuzaa Na Mimi Akizungumza kwenye kipindi cha Live Ch[...]
Angalia hapa picha za lulu akila bata huko Bukoba Ni Noumer… Naendelea Kuoga Hela
“Wahaya noma...... ” Hili Bata la Watu wa Bukoba ni Noumer...! likizo isiishe jamani Hai[...]
Tazama Picha za Ali Kiba Yuko Afrika Kusini Anafanya Hii Video Noma sana
Kupitia kurasa yake ya Instagram msanii Ali Kiba ametufahamisha kuwa yuko South Africa mjini Cape T[...]
PICHA: SHILOLE ALIVYOKINUKISHA UBELGIJI
Hizo ni picha za msanii shilole akiwa kwenye shoo uko ubregij [...]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment