Msanii Diamond Platnumz
kupitia akaunti yake ya Facebook amepost picha ya Tuzo zake alizowahi
kushinda toka ameanza muziki wake ambayo kwa sasa unampa mafanikio
makubwa sana barani Afrika na kufikia mbali zaid ameingia kwenye Tuzo
kubwa Afrika za channel O na kufanikiwa kunyakuwa Tuzo tatu hii ndio
list ya tuzo za Dimond alizoshinda hizi hapa chini

0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.