Diamond anatarajiwa kupamba shoo hiyo ya ufunguzi ambapo pia atakuwa
sambamba na mwanamuziki wa Nigeria, Davido watakapoimba wimbo wao wa
‘Number One Remix’.
Hii ni mara ya pili kwa Diamond kupiga shoo katika ufunguzi wa shindano hilo la BBA, awali alifanya hivyo katika msimu wa saba.
Shindano hilo la kila mwaka, linaloandaliwa na kampuni ya Multchoice,
msimu huu ni la 9, likijulikana kama ‘Big Brother Hotshots’
linashirikisha washiriki kutoka nchi 12 za bara la Afrika na mshindi
anatarajiwa kuondoka na kitita cha dola 300,000
0 comments:
Post a Comment