WASANII waliowahi kuogelea
katika dimbwi zito la mahaba kisha kumwagana, Zuwena Mohamed ‘Shishi
Baby’ na Elias Barnaba ‘Barnaba Boy’, wamezua maswali mapya kwa
mashabiki na kuleta tafsiri kuwa huenda wamerudiana.
Paparazi wetu aliyekuwa eneo la tukio
alipenyezewa nyepesi juu ya ukaribu wa wawili hao, aliingia mzigoni
ambapo aliwaona wako kwenye mazingira ya pamoja kila walipokuwa wakipiga
misele.
Baada ya kukwepa mitego mingi ya kamera, paparazi wetu aliamua kuwauliza kama wamerudiana au laa?
Baada ya kukwepa mitego mingi ya kamera, paparazi wetu aliamua kuwauliza kama wamerudiana au laa?
“Mimi ni mwalimu wa muziki wa Shilole na ni mtunzi mzuri tu kwake so ukaribu wetu una maana nyingi.” TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment