
Mzoga wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara leo baada ya kukutwa na wavuvi ukielea bahari kuu . Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa angalia taswira za mzoga huo
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment