- Kula milo mingi midogo mara kwa mara badala ya kula milo mikuu mitatu kwa siku. Hii itasaidia kwasababu wakati mwingine tatizo hili linasababishwa na kutokuwa na sukari ya kutosha kwenye damu(low blood pressure). Sukari hii ndio chanzo cha nguvu mwilini. Ukila mara kwa mara chakula kitapokelewa mwilini na kutengenezwa sukari na mwili kuwa na nguvu ya kutosha.
- Kunywa vinywaji nusu saa kabla au baada ya chakula. Usinywe vinywaji na kula chakula kwa wakati mmoja.
- Kula mkate wa kukausha(toast au crackers) au matunda yaliyokaushwa dakika 15 kabla ya kumka asubuhi.
- Kunwya maji mara kwa mara ili kuzuia mwili kuishiwa na maji (dehydradtion). Jaribu kunywa litre 2.5 kwa siku ikiwa pamoja na maji, chai au juice natural zisizo na sukari ya kuongeza.
- Jitahidi usile au kupita sehemu zenye harufu ya chakula zinazozidisha tatizo hili.
- Pumzika vya kutosha na pata usingizi wa mchana.
- Usikae sehemu zenye joto jaribu kukaa ndani kwenye feni au ac au nje sehemu zenye upepo. Kwasababu joto huzidisha tatizo hili. Pia usiende sehemu zenye watu wengi.
- Ndimu, tangawizi zinasaidia, pia unaweza kunywa maji ya ndimu au kula tunda la tikiti maji (watermelon) kupunguza kichefu chefu.
- Kula viazi vya kukausha na chumvi.
- Fanya mazoezi.
- Usilale baada ya mlo
- Usiache kula
- Usile au kupika vyakula vyenye pili pili (spicy) au mafuta mengi.
- Usinywe kahawa au vinywaji vikali
- Kula vyakula vya protein kabla ya kwenda kulala usiku
- Fungua madirisha au Tembea nje ili kupata upepo na oxygen ya kutosha.
- Weka kijiko kimoja cha maji ya Apple Cider Vinegar kwenye 8 ounces ya maji ya uvuguvugu kisha kunywa asubuhi kabla ya kuamka.
- Kunywa chai za Rasberry leaf, Spear mint/ pepper mint, Anise seed, Fennel seed kabla ya kuamka asubuhi.
- Umwone daktari kama unatapika kupita kiasi mpaka unashindwa kubakisha chakula au maji tumboni au kama kutapika kunaambatana na homa au maumivu.
Related Posts
Wasanii 20 wa Afrika Akiwemo mtanzania huyu kutengeneza wimbo wa Ebola
Mrisho Mpoto ameungana na wasanii wengine 20 barani Afrika kutengeneza wimbo maalum wa kuelimisha [...]
HII NDO CV YA DAKTARI BINGWA WA ALIYEMFANYIA OPERATION RAIS JK JUZI ONA MWENYEWE LIVE!!
Edward M (Ted) Schaeffer, MD, PhD, Associate Professor of Urology, Oncology and Pathology, w[...]
RAIS KIKWETE KUHAMISHIWA HOTELI MAALUM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anaendelea na ma[...]
About Love: Mambo Muhimu 11 Unayopaswa Kumwambia Mpenzi Wako Kila Siku..Check Hapa Editor 0 Love News, 9:00 PM About Love: Mambo Muhimu 11 Unayopaswa Kumwambia Mpenzi Wako Kila Siku..Check HapaAbout Love: Mambo Muhimu 11 Unayopaswa Kumwambia Mpenzi Wako Kila Siku..Check Hapa
Kutengeneza uhusiano wenye nguvu ni moja ya mambo yenye changamoto kubwa. Japo hakuna maelekezo [...]
AINA MBALIMBALI ZA JUICE ZA MATUNDA, NA FAIDA ZAKE KAMA DAWA MWILINI
Matunda ya asili ni tiba asilia. Pia mchanganyiko wa matunda haya asilia huweza kutengeneza juice[...]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.