Jeshi la
polisi limeimalisha ulinzi katika maeneo yote ambayo yalitajwa na chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa ndiyo watapitia wakiandamana
kwenda kwenda Bungeni kuanzia saa 4 asubuhi ya leo

Polisi
wakiwa wamefunga kamba kati barabara ya mzunguko ya stendi kuu ya mabasi
yaendayo mikoani na chuo cha biashara CBE kwaajili ya kuwazuia
waandamanaji hao waliopanga kwenda Bungeni

Polisi
wapanda farasi wakiimalisha ulinzi katika viwanja vya nyerere Squere
ambapo Chadema wamepanga kuanzia maandamano kuelekea bungeni.

Askali
polisi wakiwafanya mawasiliano kwenye gari lao ambalo lilikuwa limepakia
mbwa kwa ajili ya kuimalisha ulinzi katika viwanja vya Nyerere Dodoma
kwa ajili ya kuwazuia waandamanaji wa Chadema walipanga kuandamana
kwenda Bungeni.

0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.