Wananchi wakiwatoa baadhi ya majeruhi katika basi la Super Feo lililopata ajali Songea.


Miili ya watu wawili waliopoteza maisha katika ajali hiyo.
WATU wawili wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa baada ya ajali mbaya iliyotokea leo huko Songea mkoani Ruvuma ikilihusisha basi la Super Feo linalofanya safari zake kati ya Songea - Makambako lililoacha njia na kugonga mti. Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni mwendo kasi. TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
LIKE PAGE YETU HAPO PIA SHARE STORY NA RAFIKI ZAKO

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

BURUDANI

 
Top