Mtangazaji
wa Kipindi cha The One Show, Jokate Mwegelo ‘Jojo’ amefunguka kuwa
hahusiki na kuvunjika kwa ndoa ya Khadija Shaibu ‘Dida’ kwani ni
mshikaji wake na wanaheshimiana.
Akijibu
tuhuma kuwa, yeye anahusika na kuparaganyika kwa ndoa hiyo kufuatia
‘ku-fall in love’ kwa mume wa Dida, Edzen Jumanne ambaye ni mtangazaji
mwenzake, Jokate alisema:
“Yaani
watu wanapenda kuungaunga maneno kweli, jamani mimi siwezi hata siku
moja kuwa na Edzen, ni mfanyakazi mwenzangu halafu Dida ni mshikaji
wangu siwezi kabisa, tena wasitake kunitibulia.”
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment