Kama
kaka yake ambavyo hakuhudhuria harusi yake, basi Peter Okoye na yeye
amepotezea harusi ya kaka yake Jude Okoye. Ndugu hao walionekana kwamba
wamemaliza tofauti zao lakini baada ya Peter kupotezea harusi ya kaka
yake mashabiki wamekuwa wakimwambia ayamalize na ndugu yake.
Mashabiki hao wanamwambia kupitia twitter lakini baadhi yao kinachowakuwata ni kuwa blocked. Peter alichukuwa muda wake kuandika maneno haya kuhusu hii ishu.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Mashabiki hao wanamwambia kupitia twitter lakini baadhi yao kinachowakuwata ni kuwa blocked. Peter alichukuwa muda wake kuandika maneno haya kuhusu hii ishu.
0 comments:
Post a Comment