Askari
Polisi wakimtoa nje daktari feki, Karume Habibu (22) kutoka kwenye
ofisi ya Mganga Mkuu wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ambako
alihojiwa kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi kwa mahojiano zaidi.
———————————————————-
WIMBI
la madaktari feki kuingia katika hospitali wakijifanya madaktari na
kutoa huduma mbalimbali limeendelea ambapo jana amenaswa mwingine
mkoani Morogoro.
Daktari
huyo feki aitwaye Karume Habibu (22)amenaswa katika Hospitiil ya Rufaa
ya Mkoa wa Morogoro na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi mkoani humo kwa
mahojiano zaidi.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.