Ajali hii mbaya imetokea jana katika
kijiji cha Masanza Kona Mkoani Mwanza. Chanzo cha Ajali hio ni Mwendo
Kasi wa Basi ilo ambao ulimshinda dereva na kugonga nyumba moja iliokua
pembezoni mwa Barabara iyo na kumua mtu mmoja aliekua ndani na Abiria
wengine Tisa
Majerui walikimbizwa hospital ya Bugando Jijini Mwanza
Majerui walikimbizwa hospital ya Bugando Jijini Mwanza
Majerui wa

likimbizwa hospital ya Bugando Jijini Mwanza
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
LIKE PAGE YETU HAPO PIA SHARE STORY NA RAFIKI ZAKO
0 comments:
Post a Comment