Kiarabu kinaongewa na watu wengi zaidi kuliko lugha nyingine barani Africa.
Ambapo watu milioni 170
wanazungumza lugha hiyo ikifuatiwa na kiingereza watu milioni 130,
kifaransa watu milioni 115 na kiswahili kikishika nafasi ya nne kwa kuwa
na wazungumzaji milioni 100.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment