Kanye West alikuwa kwenye tamasha lake nchini Australia wakati huu na aliamua
kuweka msimamo kwa maneno aliyoyasema kuwataka mashabiki wote kusimama
na kucheza wakati anaimba la sivyo asingeendelea na show.
“'I can't do this song, I can't do this show until everybody stand up. Unless you got a handicap pass and you get special parking and s**t.'Imma see you if you ain't standing up, believe me, I'm very good at that.”.Alisema.

Kwa bahati mbaya zoezi hilo lilikuwa gumu kwa mashabiki wawili waliokuwa wamekaa kwenye kiti maalum cha kuwasaidia kutembea na huenda walikuwa walemavu ama wagonjwa wa miguu.
Kanye alisimamisha zoezi la kuimba ingawa watu waliendelea kumpigia kelele wakimuonesha ishara kuwa watu hao walikuwa kwenye wheelchairs.
Rapper huyo hakuamini maneno tu na alimtuma mlinzi wake aitwae Pascal kuhakikisha na kumletea majibu.
Pascal aliporudi alimhakikishia kuwa kweli walikuwa kwenye wheelchairs na ndipo alipolegeza masharti na kuendelea na show.
“He is in a wheelchair? It’s fine!” Alisikika Kanye West.

0 comments:
Post a Comment