Gari ya Polili ilioibuka kumuokoa
Diambond kufuatia sakata la mashabiki
wake kupandwa na jazba.
Sehemu ya ukumbi ulioharibiwa vibaya na
washabiki mjini
Stuttgart,ujerumani
UJERUMANI SI SHWARI KIMENUKA !!
POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND
KUTOKA KWA WASHABIKI WENYE HASIRA !
KASHINDWA KUWIKA STUTTGART KISA?
KAFIKA UKUMBINI SAA 10 ALFAJIRI !
WASHABIKI WANASURI SHOW TANGU SAA 4
USIKU. PROMOTA MNAIJERIA AINGIA
MITINI ,DJ APATA KISAGO HETI VYOMBO
VIBOVU ! HAIBU
Stuttgart,Ujerumani,
Usiku wa Jumamosi ya Tarehe 30.Augost 2014,
majira ya saa 10 alfajiri
Mwanamuziki nyota wa Bongo Flaver Nasib
Abdul aka Diamond Platnumz alijikuta katika
hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini
Stuttgart,ujerumani,baada ya washabiki
waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri
show,washabiki hao waliokuwa wamelipa
ticket euro 25 kwa kiingilio walihadiwa kuwa
show ingeanza saa 4.00 usiku,lakini walijukuta
wakisubiri hadi majira ya saa10 usiku au alfajiri
ndipo mwanamuziki Diamond alipoletwa
jukwaani na promota wake raia wa Nigeria
anajiita kama Britts Event.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment