Beauty of the day: Stella “Starlisha” Tillya AKA Chagga Barbie. Wengi wenu nadhani mnamfahamu kama “yule
mrembo
wa Kitanzania aliyeuteka moyo wa rapper Prezzo wa Kenya.” Anakula bata
huko kwenye baridi kali, Minnesota, USA. Ana blog yake ya fashion na
burudani, ambapo ndipo zilipotoka picha hizi. Picha zote kutoka katika
blog yake
Tanzanite Glamour. Tembelea kwa picha na mengine zaidi
hapa
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
LIKE PAGE YETU HAPO PIA SHARE STORY NA RAFIKI ZAKO
0 comments:
Post a Comment