Mkurugenzi wa Yamoto Band na Wanaume Family, Said Fela anawania
uenyekiti wa serikali za katika mtaa wa Kirungure, wilayani Temeke
kupitia CCM.
“Leo wadau naomba dua zenu nagombea serikali ya mtaa uku kwetu
kirungule na nipo na mgombea mwenzangu ndio tunagombania hiki kiti apate
yeye au nibebe Mimi inshaallah,” ameandika Fela kwenye Instagram.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
LIKE PAGE YETU HAPO PIA SHARE STORY NA RAFIKI ZAKO
0 comments:
Post a Comment