Jeshi
la polisi jijini Dar es Salaam limetumia mbwa na virungu kuwatanyama
mamia ya wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Manendeleo Chadema ambao
walifurika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa lengo la kumsindikiza
Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, ambaye aliitwa kwa mahojiano.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
LIKE PAGE YETU HAPO PIA SHARE STORY NA RAFIKI ZAKO
0 comments:
Post a Comment