“Mimi sio Play Boy jamani mbona watu wananizushia hivyo, napenda watu wajue kama mimi ni mtu wakawaida na sio Play Boy kama wanavyofanya wengine mimi ni kijana wa kawaida sana na real Watoto wakike ndiyo Mashabiki wangu wakubwa sana so Watu wasinifikilie vibaya jamani Mimi nipo Njia Kuu Naepuka Michepuko.” alisema Gerry Wa Rhymes TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
MIMI SIO PLAY BOY
Msanii wa R&B tzee anayetamba na ngoma yake ya ‘Elewa’ George aka
Gerry Wa Rhymes ameliambia BK kutoka na uvumi ulioenea mtaani kuwa yeye
ni play boy hapa anafunguka.
“Mimi sio Play Boy jamani mbona watu wananizushia hivyo, napenda watu wajue kama mimi ni mtu wakawaida na sio Play Boy kama wanavyofanya wengine mimi ni kijana wa kawaida sana na real Watoto wakike ndiyo Mashabiki wangu wakubwa sana so Watu wasinifikilie vibaya jamani Mimi nipo Njia Kuu Naepuka Michepuko.” alisema Gerry Wa Rhymes TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
LIKE PAGE YETU HAPO PIA SHARE STORY NA RAFIKI ZAKO
“Mimi sio Play Boy jamani mbona watu wananizushia hivyo, napenda watu wajue kama mimi ni mtu wakawaida na sio Play Boy kama wanavyofanya wengine mimi ni kijana wa kawaida sana na real Watoto wakike ndiyo Mashabiki wangu wakubwa sana so Watu wasinifikilie vibaya jamani Mimi nipo Njia Kuu Naepuka Michepuko.” alisema Gerry Wa Rhymes TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment